Home Audio Waziri Mkuu Afanya Tena Ziara ya Kushtukiza Bandarini na TRL..Abaini Upotevu wa...

Waziri Mkuu Afanya Tena Ziara ya Kushtukiza Bandarini na TRL..Abaini Upotevu wa Makontena zaidi ya 2431

SHARE

Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akikagua bandari ya Dar es salaam Desemba 3, 2015
ambako alikwenda kupata ukweli kuhusu makontena 2,431 yaliyopitia
kwenye bandari hiyo bila kulipiwa kodi ya serikali. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)


Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mfumo wa kukagua makontena bandarini
kwa kutumia scaner huku akipata maelezo kutoka kwa Ofisa wa forodha,
January Shauri wakati alipotembelea bandari ya Dar es salaam Desemba 3,
2015 kutaka kujua ukweli wa tuhuma za makontena 2431 yaliyopita
bandarini hapo bila kulipiwa kodi ya serikali.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu utoaji bili za
kulipia kodi za serikali kwa watumiaji wa bandari ya Dar es salaam
kutoka kwa ofisa mwandamizi wa masuala ya fedha , Bw. Sartho Mbuya
wakati alipotembelea bandari hiyo Desemba 3, 2015 kutaka kujua ukweli
wa tuhuma za makontena 2431 yaliyopita bandarini hapo bila kulipiwa kodi
za serikali.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimwonyesha Kaimu Meneja wa Bandari ya
Dar es salaam, Bw. Abel Mhanga (kulia) orodha ya makontena 2,431
yaliyopitia kwenye banda ya Dar es salaam bila kulipiwa kodi wakati
alipofanya ziara kwenye bandari hiyo Desemba ,3, 2015.


Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Reli nchini TRL wakati alipotembelea stesheni ya Dar es
salaam kukagua uendeshaji wa Shirika hilo Desemba 3, 2015.

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akitembelea steheni ya reli ya Dar es salaam Desemba 3, 2015.

USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                        
SHARE