Home Audio MBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO, SAED KUBENEA AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI...

MBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO, SAED KUBENEA AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR

SHARE
Mbunge wa jimbo la Ubungo,(Chadema) Saed Kubenea amefikishwa mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana, akielekea katika chumba cha kusomewa shtaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.
Mbunge wa jimbo la Ubungo,(Chadema) Saed Kubenea akiwa na wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo, mara baada ya kusomewa shitaka lililokuwa likimkabiri katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa jimbo Ubungo,(Chadema) Saed Kubenea akizungumza na waandishi wa habari katika mahakama ya kisutu jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo, Kubenea amekana kufanya kitendo hicho na kesi yake imeahirishwa hadi Desema 29, mwaka huu.Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.

USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                        

SHARE