Home Audio BASI LA KAMPUNI YA NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA MKOANI IRINGA LEO

BASI LA KAMPUNI YA NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA MKOANI IRINGA LEO

SHARE

WATU kadhaa wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria mali ya Kampuni ya NEW FORCE ONE lenye namba za usajili T483 CTF kupinduka mapema mchana wa leo katika eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa barabara kuu ya Iringa- Morogoro, jitihada za kusafirisha majeruhi zinaendelea. Chanzo cha ajali hiyo, inaelezwa kuwa ni Lori la mizigo lililokuwa likitokea

upande wa Morogoro, kupasuka tairi ya mbele na kupoteza muelekeo uliopelekea kuligonga basi hiyo na kupinduka. Glogu ya Jamii inafanya jitihada za kumpaka Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa kwa taarifa zaidi. tutaendelea kuwaletea taarifa kadri tutakavyozipata.

Sehemu ya Basi hiyo baada ya kupata ajali.

USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                        
SHARE