Home Audio Tazama Video, DC Makonda akiwasweka rumande maofisa ardhi zaidi ya 10 siku...

Tazama Video, DC Makonda akiwasweka rumande maofisa ardhi zaidi ya 10 siku ya jana.

SHARE
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda siku ya jana aliwaweka ndani kwa muda saa sita maofisa ardhi zaidi ya 10 huko Kawe baada ya kuchelewa kufika eneo walilokubaliana kukutana.Siku ya juzi Jumanne , DC Makonda alikubaliana Maofisa hao kufika eneo la
Nakasangwe Kata ya Wazo leo asubuhi kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa ardhi lakini wao wakafika saa 5…Check video hapo chini

USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                        

SHARE