Home Audio Raisi Magufuli Afanya Ziara ya Ghafla Hospitali ya Muhimbili

Raisi Magufuli Afanya Ziara ya Ghafla Hospitali ya Muhimbili

SHARE
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Hospitali Kuu ya Taifa Muimbili kufanya ziara ya hafla kuangalia utendaji wa Kazi wa Madaktari katika hospitali hiyo akiwa katika Kazi zake baada ya kuingia Madarakani.


Dk Magufuli akiwatembelea Wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Muimbili Wadi ya Watoto na kuwajulia hali zao.


Wananchi waliofika katika Hoipitali Kuu ya Taifa Muimbili wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli wakati wa ziara yake ya hafla katika Hospitali ya Muimbili Jijiji Dar es Salaam leo mchana.


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akizungumza baada ya ziara yake katika Hospitali Kuu ya Taifa Muimbili leo mchana kuangalia utengaji wa Kazi wa Hospitali hiyo.


Dk Magufuli akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa kwa matibabu Muhimbili


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akisalimiana na Wauguzi wa Hospitali ya Muimbili leo alipofanya ziara ya hafla hospitalini hapo.(Picha na Ikulu)

USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                        

SHARE