Home Audio Kassim Majaliwa Aidhinishwa na Wabunge Kuwa Waziri Mkuu kwa Kura 258

Kassim Majaliwa Aidhinishwa na Wabunge Kuwa Waziri Mkuu kwa Kura 258

SHARE
Mh. Kassim Majaliwa amethibitishwa na wabunge kuwa Waziri Mkuu mteule kwa kupata kura za ndio 258 sawa na asilimia 73.5% ya kura zote 351 zilizopigwa.Kura za hapana ni kura 91 sawa na asimilia 25 ya kura zote, na kura zilizoharibika ni 2.Majaliwa amemshukuru Rais Magufuli kwa kumwamini na ameahidi kuwatumikia watanzania wote bila kujali itikadi zao za vyama.

USISAHAU KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                        

SHARE