Home Audio Bodi ya Mikopo yatangaza Majina ya Mwanzo ya Waliopata mikopo kwa ajili...

Bodi ya Mikopo yatangaza Majina ya Mwanzo ya Waliopata mikopo kwa ajili ya elimu ya juu..Bofya hapa kupata matokeo

SHARE

Tunapenda
kukufahamisha kuwa Awamu ya Kwanza ya orodha ya majina ya waombaji
wapya wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 inapatikana kupitia olas.heslb.go.tz.

Kwa
msingi huo, tunakanusha taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya
mitandao ya kijamii kuwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
haitatoa mikopo kwa wanafunzi

wanaojiunga na wanaoendelea na masomo katika vyuo vya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2015/2016 
>>bofya hapa kupata matokeo moja kwa moja<< 

LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                        

SHARE