Home Audio Team Bajaji wazidi kuchanja Mbuga jana wavamia BUKOBA na kumnadi Magufuli

Team Bajaji wazidi kuchanja Mbuga jana wavamia BUKOBA na kumnadi Magufuli

SHARE
Team Bajaji ambao ni kundi la wasanii wa filamu na muziki ambao wanazunguuka nchi nzima kwa Bajaji Jana walikua Bukoba wakizungumza na vijana huku wakinadi sera za mgombea wa uraisi kupitia CCM Dk John Maguful pICHANI ni JB akiwa ndani ya Bajaji akizunguka katika mji wa BUKOBA

Wanannchi wa BUKOBA wakisikiliza kwa makini mmoja wa wasanii waliounhana katika Team Bajaji
Dude akiongea na wananchi wa Bukoba huku akimnadi Mgombea wa uraisi kupitia CCM Dk John Magufuli
Taswira za bajaji zilizowabeba wasanii hao na jana kutikisa katika mitaa ya Bukoba

SHARE