Home Audio Tanzia: Lufufu Mkandala Afariki Dunia…Ni yule mtaalamu wa Kutafsiri filamu zenye lugha...

Tanzia: Lufufu Mkandala Afariki Dunia…Ni yule mtaalamu wa Kutafsiri filamu zenye lugha ya Kigeni kwa kiswahili

SHARE
https://i0.wp.com/media1.faz.net/ppmedia/video/2551975921/1.975647/default/captain-mukandala.jpg?resize=640%2C410

Captain Lufufu Mukandala, Legendary Voice Over Artist, mtaalamu wa
Kutafsiri filamu zenye lugha ya Kigeni kwa kiswahili amefariki dunia
jana usiku kutokana na Ugonjwa wa Presha, alikua anaelekea harusini mida
ya saa moja usiku bahati mbaya njiani akaanguka, ndugu walijaribu
kumwahisha hospitali ili kuokoa maisha yake bahati mbaya kufika
hospitalini alikua ameshafariki,  msiba upo nyumbani kwake Vingunguti
Machinjioni

Mungu ailaze roho ya Marehem mahali pema peponi
Source: Familia

 https://i0.wp.com/static.guim.co.uk/sys-images/Guardian/Pix/pictures/2012/7/10/1341911428731/Derek-Lufufu-Mukandala-th-008.jpg?resize=640%2C384

SHARE