Home Audio Rais Kikwete Naye Keshapiga Kura….Kasema Tarehe 5 Atakabidhi Nchi

Rais Kikwete Naye Keshapiga Kura….Kasema Tarehe 5 Atakabidhi Nchi

SHARE

Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa Tarehe 5 Mwezi November 2015 atakuwa
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Rais ameyasema hayo
alipokuwa akipiga kura leo
katika jimbo la Chalinze-Msoga ambapo
aliambatana na mkewe Mama Salma Kikwete.

SHARE