Home Audio PICHA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE NA WENZAKE WALIVYOAGWA

PICHA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE NA WENZAKE WALIVYOAGWA

SHARE
Majeneza yenye miili ya marehemu yakiandaliwa kwa kuagwa.

Ndugu, jamaa na marafiki wakipita kwenye majeneza yenye miili ya marehemu kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho. Waombolezaji wakionekana wenye huzuni wakati wa kuaga miili ya marehemu.Zoezi la kuaga miili ya marehemu hao likiendelea. Waombolezaji wakiwa katika msitari kuelekea eneo yalipowekwa majeneza hayo kwa ajili ya kuaga.Mke wa marehemu Deo Filikunjombe, Sarah Filikunjombe (kushoto) akilia kwa uchungu.Nyumbani kwa Deo Filikunjombe, Mtoni-Kijichi, Dar es Salaam.

Mbunge wa Jimbo la Ludewa aliyekuwa anamaliza muda wake, Deogratias Filikunjombe enzi za uhai wake.
PICHA NA DENIS MTIMA/GPL
SHARE