Home Audio Ona hapa Wasanii waamua kupita mtaa kwa mtaa kumnadi Mh John Pombe...

Ona hapa Wasanii waamua kupita mtaa kwa mtaa kumnadi Mh John Pombe Maagufuli!

SHARE
Wasanii
mbali mbali kutoka Bongo Movie na Bongo Flava wameonesha Umoja katika
kulinda na kuhakikisha watanzania wanapata maendeleo ya kweli. Katika
Safari zao wamesema kuwa maendeleo ya kweli hayawezi kutokea bila kuwa
na kiongozi Muadilifu, mchapa kazi, mkemea rushwa na ufisadi. Lazima
kama taifa wananchi wote wajitume,
wafanye
kazi ili taifa letu liendelee. Kuhusu tatizo la mitaji Dkt. Magufuli
ameahidi kutoa Million 50 Kila kijiji kuhakikisha watanazania wote
wanashiriki katika kujenga taifa na kuondokana na umaskini. Wamewaomba
sana watanzania kufanya maamuzi kwa maslahi ya taifa letu… Wampigie
Kura Dkt. Mafugufi..

SHARE