Home Audio MPYAA: TAZAMA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2015

MPYAA: TAZAMA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2015

SHARE
  

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya darasa la Saba mwaka 2015 ambayo yameonyesha asilimia za kufahuru kuwa 53.40 tofauti na ufaulu wa mwaka jana wa asilimia 56.99

Akitangaza matokeo hayo jijini Dar es salaam leo Oktoba 31, 2015 Katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania, Dk.Charles Msonde, ametaja jumla ya wanafunzi waliojisajili kufanya mitihani kufikia 763,606 sawa na asilimia 98.50 . Kati yao wasichana walikuwa
408,966 sawa na asilimia 98.98 na wavulana walikuwa 354,706 sawa na asilimia 98.17. Watahiniwa 11,667 sawa na asilimia 1.50hawakufanya mtihani kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo utoro na ugonjwa. Kati yao wasichana ni 5,066 na wavulana ni 6,601.
bofya hapa chini kwenye mikoa kutazama matokeo ya darasa la saba
ARUSHA
DAR ES SALAAM
DODOMA
IRINGA
KAGERA
KIGOMA
KILIMANJARO
LINDI
MARA
MBEYA
MOROGORO
MTWARA
MWANZA
PWANI
RUKWA
RUVUMA
SHINYANGA
SINGIDA
TABORA
TANGA
MANYARA
GEITA
KATAVI
NJOMBE
SIMIYU

LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA CHINI                                                                                        

SHARE