Home Audio MAGUFULI APIGA KURA NYUMBANI KWAKE CHATO

MAGUFULI APIGA KURA NYUMBANI KWAKE CHATO

SHARE

Mgombea
Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga kura kwenye kituo
namba moja kilichopo shule ya msingi Magufuli iliyopo Chato, mkoani
Geita.Dk. Magufuli alipiga kura yake asubuhi ya saa 4 na dakika 32.

 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akijitayarisha kuweka kura yake kwenye sanduku la kura .

 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka kura yake ya kwanza ya urais kwenye sanduku la kura.

 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka kura yake ya ubunge kwenye sanduku la kura.

 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka kura yake kwenye sanduku la udiwani.

Mgombea
Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akionyesha wino kwenye
kidole chake cha shahada kama ishara ya kukamilisha zoezi la kupiga
kura.

SHARE