Home Audio KINANA AVUNJA NGOME YA UKAWA HUKO TUNDUMA

KINANA AVUNJA NGOME YA UKAWA HUKO TUNDUMA

SHARE

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman akiwasili kwenye uwanja wa shule ya msingi Tunduma

 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman akihutubia wakazi wa mji wa
Tunduma kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa
shule ya msingi Tunduma ambapo aliwaelezea wananchi hao kuwa mgombea wa
urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ana uwezo mkubwa wa
kuibadilisha Tanzania,kubadili mfumo wa chama na atakuwa na Baraza la
Mawaziri dogo, atapunguza matumizi yasiyo ya lazima ya serikali lakini
pia ataondoa kodi ndogo ndogo zinazowapa kero na kurahisisha njia za
kufanya biashara kwa wananchi wa mipakani.

SHARE