Home Audio HIVI NDIVYO DKT MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA WILAYANI BABATI MKOA WA MANYARA

HIVI NDIVYO DKT MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA WILAYANI BABATI MKOA WA MANYARA

SHARE

 Moja ya mabango yaliyokuwepo kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea urais
wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli mjini Babati, mkoani
Manyara. Hadi sasa Dk Magufuli ameshafanya kampeni katika mikoa 20 na
kusafiri kwa njia barabara kwa zaidi ya Km 19,000.

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akijinadi
katika mkutano wa kampeni mjini Babati. Hadi sasa Dk Magufuli
ameshafanya kampeni katika mikoa 20 na kusafiri kwa njia barabara kwa
zaidi ya Km 19,000.

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiwahesabia
 viongozi wa chama hicho waliokuwa wakifanya mazoezi ya Push Ups wakati
wa mkutano wa kampeni mjini Babati, mkoani Manyara. Hadi sasa Dk
Magufuli ameshafanya kampeni katika mikoa 20 na kusafiri kwa njia
barabara kwa zaidi ya Km 19,000.

 Ni Push Ups  kwa kwenda mbele

 Dk Magufuli akiungana na Chege na Temba  kucheza muziki wakati wa
mkutano wa kampeni mjini Babati.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA
WA MATUKIO BLOG

 Dk Magufuli akihutubia wananchi waliouzuia msafara wake katika mji wa
Endasak, wilayani Hanang, mkoani Manyara, akitokea kufanya mkutano wa
kampeni wilayani Babati kwenda Hanang.

 Wananchi wa Endasak wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akijinadi

 Wananchi wa Endasak wakinyoonsha mikono juu kukubali kumpigia kura za
ndiyo Dk Magufuli akatika uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu Wilaya
Hanang ndipo alipozaliwa Mpiga debe Mkuu wa Mgombea urais wa Chadema,
Edward Lowassa. Waziri Mkuu wa zamani Frederick Sumaye.

 Wananchi wa Kijiji cha Ndaseni wilayani Chemba, Dodoma, wakishangilia
baada ya kumuona Dk Magufuli ambaye msafara wake ulikuwa unatoka Singida
kwenda Kondoa hadi Babati, mkoani Manyara.PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Moja ya mabango ya wananchi yaliyokuwa yakioneshwa kwa Dk Magufuli
katika mkutano wa kampeni Makao Makuu ya Wilaya ya Chemba. mjini Chemba.

 Dk Magufuli na Mgombea ubunge Jimbo la Chemb, Juma Mkamia a wakisoma
ujumbe uliopo kwenye mabango katika mkutano wa kampeni mjini Chemba

 Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho, mgombea ubunge Jimbo la Chemba, Juma Mkamia

 Dk Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Kondoa, Dodoma.

 Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Kondoa Vijijini Dk Ashatu Kijaji wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kondoa

  Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Kondoa Mjini, Sanda Edwin wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kondoa

 Wananchi wakimshangilia Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Kondoa

 Mambo ya Dk Magufuli mjini Kondoa

 Dk Magufuli akijnadi kwa wananchi waliuzuia msafara wake katika Kijiji cha Beleko mpakani mwa mikoa ya Dodoma na Manayara

 Mgombea ubunge Jimbo la Hanang, Dk. Mary Nagu akimpigia debe Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Babati

 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara, akimponda Mgombea urais wa Chadema,
Edward Lowassa kwa uroho wa madaraka na kumsifia Dk Magufuli wakati wa
mkutano wa kampeni mjini Babati

 Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, ambaye pia ni Mratibu Mkuu wa
Kampeni za Dk Magufuli, Abdallah Bulembo akielezea wasifu wa Dk Magufuli
wakati wa mkutano wa kampeni  mjini Babati.

 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni mjini Babati

 Sehemu ya umati wa wananchi kwenye mkutano wa kampeni za Dk Magufuli mjini Babati

 Dk Magufuli akiwaeleza wananchi wa Babati kwamba akishinda serikali yake iatawaondolea kodi wananchi wa hali ya chini.

Pia Dk Magufuli akiwaeleza wananchi kuwa akishinda urais serikali yake
itakuwa ni ya viwanja vingi ili kupunguza tatizo la ajira kwa vijana na
kupandisha tahamani ya mazao. PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Moja ya mabango
yaliyokuwepo kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea urais wa Tanzania
kupitia CCM, Dk. John Magufuli mjini Babati, mkoani Manyara. Hadi sasa
Dk Magufuli ameshafanya kampeni katika mikoa 20 na kusafiri kwa njia
barabara kwa zaidi ya Km 19,000. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA
WA MATUKIO BLOG
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akijinadi
katika mkutano wa kampeni mjini Babati. Hadi sasa Dk Magufuli
ameshafanya kampeni katika mikoa 20 na kusafiri kwa njia barabara kwa
zaidi ya Km 19,000.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiwahesabia
viongozi wa chama hicho waliokuwa wakifanya mazoezi ya Push Ups wakati
wa mkutano wa kampeni mjini Babati, mkoani Manyara. Hadi sasa Dk
Magufuli ameshafanya kampeni katika mikoa 20 na kusafiri kwa njia
barabara kwa zaidi ya Km 19,000.
Ni Push Ups kwa kwenda mbele
Dk Magufuli akiungana na Chege na Temba kucheza muziki wakati wa
mkutano wa kampeni mjini Babati.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA
WA MATUKIO BLOG
Dk Magufuli akihutubia wananchi waliouzuia msafara wake katika mji wa
Endasak, wilayani Hanang, mkoani Manyara, akitokea kufanya mkutano wa
kampeni wilayani Babati kwenda Hanang.
Wananchi wa Endasak wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli
akijinadi
Wananchi wa Endasak wakinyoonsha mikono juu kukubali kumpigia kura za
ndiyo Dk Magufuli akatika uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu Wilaya
Hanang ndipo alipozaliwa Mpiga debe Mkuu wa Mgombea urais wa Chadema,
Edward Lowassa. Waziri Mkuu wa zamani Frederick Sumaye.
Wananchi wa Kijiji cha Ndaseni wilayani Chemba, Dodoma, wakishangilia
baada ya kumuona Dk Magufuli ambaye msafara wake ulikuwa unatoka Singida
kwenda Kondoa hadi Babati, mkoani Manyara.PICHA ZOTE NA RICHARD
MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Moja ya mabango ya wananchi yaliyokuwa yakioneshwa kwa Dk Magufuli
katika mkutano wa kampeni Makao Makuu ya Wilaya ya Chemba. mjini Chemba.
Dk Magufuli na Mgombea ubunge Jimbo la Chemb, Juma Mkamia a wakisoma
ujumbe uliopo kwenye mabango katika mkutano wa kampeni mjini Chemba
Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho, mgombea
ubunge Jimbo la Chemba, Juma Mkamia
Dk Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa
Sabasaba mjini Kondoa, Dodoma.
Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Kondoa Vijijini Dk Ashatu
Kijaji wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kondoa
Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Kondoa Mjini, Sanda Edwin
wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kondoa
Wananchi wakimshangilia Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini
Kondoa
Mambo ya Dk Magufuli mjini Kondoa
Dk Magufuli akijnadi kwa wananchi waliuzuia msafara wake katika Kijiji
cha Beleko mpakani mwa mikoa ya Dodoma na Manayara
Mgombea ubunge Jimbo la Hanang, Dk. Mary Nagu akimpigia debe Dk
Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Babati
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara, akimponda Mgombea urais wa Chadema,
Edward Lowassa kwa uroho wa madaraka na kumsifia Dk Magufuli wakati wa
mkutano wa kampeni mjini Babati
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, ambaye pia ni Mratibu Mkuu wa
Kampeni za Dk Magufuli, Abdallah Bulembo akielezea wasifu wa Dk Magufuli
wakati wa mkutano wa kampeni mjini Babati.
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni mjini
Babati

Sehemu ya umati wa wananchi kwenye mkutano wa kampeni za Dk Magufuli
mjini Babati
Dk Magufuli akiwaeleza wananchi wa Babati kwamba akishinda serikali
yake iatawaondolea kodi wananchi wa hali ya chini.
Pia Dk Magufuli akiwaeleza wananchi kuwa akishinda urais serikali yake
itakuwa ni ya viwanja vingi ili kupunguza tatizo la ajira kwa vijana na
kupandisha tahamani ya mazao.

Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu