Home Audio Duh! check mambo ya Fainali za Bongo Star Search 2015 ndani...

Duh! check mambo ya Fainali za Bongo Star Search 2015 ndani ya King Solomoni Hall Dar!

SHARE
Eneo
la jukwaa litakalowasha moto kwa washiriki sita walioingua fainali za
Bongo Star Search (BSS 2015) hii ni muda huu mtandao wako mtiwadawablogspot tukiwa moja kwa moja tukikuletea matukjio yote
‘LIVE’. (Picha zote na Andrew Chale).

Rommy
Jones akifanya mahojiano na watu mbalimbali wanaendelea kuingia ndani
ya ukumbi wa King Solomon kunakofanyika fainali za BSS 2015 kwa
washiriki sita waliobakia ambao mmoja wapo anaibuka  na kitita kinono…
Wadada
warembo wa Huawei wakiwa tayari kukuhudumia na kukupa maelezo kabambe
ya namna ya ubora wa simu za Huawei  ikiwemo P8 anayotamba kwa sasa..
Wadada wa Huawei wakiwa katika ubora wao ndani ya kuingia kwenye ukumbi wa King Solomon Hall katika msimu wa nane wa BSS 2015.
endelea kufuatilia kwa habari na picha zaidi hapa hapa…
SHARE