Home Audio Dr. Magufuli aiteka Mkuranga na Kilwa aizika UKAWA na Lowassa

Dr. Magufuli aiteka Mkuranga na Kilwa aizika UKAWA na Lowassa

SHARE
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa
wananchi kuomba kura za ndiyo katika mkutano wa kampeni mjini Mkuranga,
Pwani .

 Wasanii wakishangilia wakati Dk Magufuli akiwasili kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo la Kibiti, mkoani Pwani leo.

 Mama mfuasi wa CCM akionesha furaha yake baada ya kumuona Dk Magufuli
 wakati msafara wake uliposimamishwa na wananchi katika Kijiji cha
Mbwemkulu, Wilaya ya Kilwa

 Mfugaji wa Jamii ya Kisukuma, akifurahia kofia aliyopatiwa zawadi na Dk
Magufuli katika mkutano wa kampeni eneo la Nyamwage, wilayani Rufuji
leo.

 Dk Magufuli akimhesabia Mgombea Ubunge Jimbo la Mkuranga, Abdallah
Ulega aliyekuwa akipiga Push Up wakati wa mkutano wa kampeni mjini
Mkuranga

 Wananchi wa Kata ya Nangaru, Jimbo la Nchinga, wakishangilia baada ya
kumuona Dk Magufuli akiwasili kwenye mkutano wa kampeni za CCM, katika
Kata ya Nangaru, Jimbo la Nchinga, wMkoa wa Lindi

 Dk Magufuli akimvisha kofia mmoja wa wananchama wa upinzani waliamua kuhamia CCM katika mkutano wa kampeni

 Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Mgombea ubunge Jimbo
la Nchinga, Said Mtanda katika mkutano wa kampeni Kata ya Nangaru PICHA
ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Mama akishangaa kumuona Dk Magufuli wilayani Kilwa

 Mmoja w a waliokuwa viongozi wa CUF, akitangaza kujitoa  Chama Cha
Wananchi (CUF), NA KUJIUNGA ccm katika kutano wa kampeni za CCM,mjini
Kilwa.

 Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Kilwa Kusini, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM  mjini Kilwa Masoko.

 Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Kilwa Kaskazini, Murtaza  Mangungu eneo la Malendegu, wilayani Kilwa.

 Wananchi wakishangilia kwa furaha na kuahidi kumpigia kura za ndiyo
katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu, Dk Magufuli..

 Wananchi wa Kijiji cha Jaribu wakishangilia wakati Dk  akihutubia na kuomba apigiwe kura za ndiyo.

 Wananchi wakiwa na furaha kukubali kunyoosha mikono juu ikiwa ni ishara
kumkubali Dk Magufuli na kuahidi kumpigia kura Oktoba 25 mwaka huu.

 Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Mkuranga,Abdalah Ulega

 Mke wa Mgombea ubunge Jimbo la Mkuranga,Abdalah Ulega, Mariam akiwa na
furaha baada ya kuona mwenzi wake akipigiwa debe na Dk Mafuli.

Aliyekuwa Mbunge wa Mkuranga, Adam Malima, akiwapigia debe Dk Magufuli na Ulenga mjini Mkuranga

SHARE