Home Audio DKT MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOA WA KILIMANJARO.

DKT MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOA WA KILIMANJARO.

SHARE

 Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Same Mashariki Mama Anne Kilango
wakiwasalimu wakazi wa Same waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za
CCM Ndungu.

  Wakazi wa Same Mashariki wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli.

 Mgombea

wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
akimvalisha fulana mmoja wa wafuasi wa CHADEMA alieamua kurejea chama
cha CCM jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ndani ya jimbo
la Same Mashariki

 Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
akiwahutubia wakazi wa Ndungu kweye mkutano wa kampeni Same Mashariki,jioni ya leo.

 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwa sambamba na Mgombea Ubunge wa jimbo la Vunjo,Innocent Shirima wakiwapungia wananchi walipokuwa wakiwasili kwenye mkutano wa kampeni mjini himo.

 Wakazi wa Himo wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli.

  Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
akimnadi mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia CCM Innocent Shirima.

  Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Mwanga Profesa Jumanne Maghembe
kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika Mwanga.

 Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
akihutubia wakazi wa Same Magharibi kwenye uwanja wa Kwasakwasa ambapo
aliwaambia wananchi hao kuwa katika uongozi wake atahakikisha kodi ndogo
ndogo zinaondolewa kwa wafanyabiashara wadogo.

 wakazi
wa Same Magharibi wakishangilia mara baada ya kumsikiliza Mgombea Urais
wa CCM Dkt Magufuli kwenye uwanja wa Kwasakwasa ambapo
aliwaambia wananchi hao kuwa katika uongozi wake atahakikisha kodi ndogo
ndogo zinaondolewa kwa wafanyabiashara wadogo.

 Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP)
Ndugu Augustino Lyatonga Mrema mara baada ya kukutana njia panda ya
Himo.

 Mwenyekiti
wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Ndugu Augustino Lyatonga Mrema
akizungumza mbele ya mgombea wa urais kupitia CCM na kuwataka wananchi
wa Vunjo kumpigia kura mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli
kwani ni rafiki wa kweli kwa maendeleo ya Tanzania.

SHARE