Home Audio BREAKING NEWS: MCH. CHRISTOPHER MTIKILA AFARIKI KWA AJALI YA GARI MKOANI PWANI

BREAKING NEWS: MCH. CHRISTOPHER MTIKILA AFARIKI KWA AJALI YA GARI MKOANI PWANI

SHARE
Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa Chama Cha DP Mch Christopher Mtikila amefariki dunia kwa ajali ya gari kijiji iliyotokea cha Msolwa, Chalinze mkoani Pwani asubuhi ya leo na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali.

CHANZO: TBC TV

SHARE