Home Audio Bodi ya mikopo yatoa taarifa rasmi kuhusu taarifa orodha ya majina...

Bodi ya mikopo yatoa taarifa rasmi kuhusu taarifa orodha ya majina ya waombaji wa Mikopo waliofanikiwa.

SHARE
http://2.bp.blogspot.com/-yDhhmBU0NQ4/Uyrs4FgqfwI/AAAAAAAASf8/Px2oITL-AnY/s1600/2.JPG
TAARIFA YA UFAFANUZI

Tunapenda kufafanua kuwa taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya
mitandao ya kijamii kuwa orodha ya majina ya waombaji wa Mikopo
waliofanikiwa kwa mwaka wa masomo 2015/2016 imetoka sio za kweli. Kwa
sasa, kazi ya uchambuzi wa maombi ya mikopo yaliyowasilishwa Bodi ya
Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu bado inaendelea.
Mwisho.
Source:bodi ya mikopo Tanzania
SHARE