Home Audio AUGUSTINO MREMA NAYE AIKUBALI MAGUFULI

AUGUSTINO MREMA NAYE AIKUBALI MAGUFULI

SHARE

                                    Mrema ajipanga barabarani Vunjo kumpokea Magufuli

Leo katika mkutano wa CCM katika jimbo la vunjo, akihutubia nyomi ya watu, mgombea urais wa CCM John Pombe Magufuli alimwombea kura mgombea wa TLP, Augustino Mrema kwa wakazi wa Vunjo kwamba wamchague kuwa mbunge wao huku mgombea wa CCM wa jimbo hilo Innocent Shirima akiwa pembeni yake akishangaa bila kuamini.

Magufuli alisema pia kwamba mrema akichaguliwa atamwingiza kwenye baraza lake ya mawaziri.

Wakati hayo yakijiri viwanja vya himo, Mrema alikuwa njia panda na wakati Magufuli amemaliza mkutano wake alipita na ‘entourage’ yake kuelekea Same.

Mrema alikuwa amesimama anaongea na watu hapo njia panda, msafara wa Magufuli ulimpita Mrema kuelekea Same, lakini baada ya dakika 10 convoy ya Magufuli ilirudi njia panda ili kumsalimia mrema, wakazi wa Vunjo walifurika na Magufuli alimwomba Mrema aongee kidogo. Mrema alimsifia Magufuli kwa barabara alizojenga katika jimbo la Vunjo.

Magufuli nae alirudia akisema mbatia hafai kuwa mbunge ila wamchague Mrema ambaye ni jembe na mchapakazi kama yeye na watu walilipuka kwa shagwe.

Mrema ametangaza
kumuunga mkono mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli ingawa
chama chake (yeye akiwa Mwenyekiti), TLP kina mgombea Urais pia.

Leo katika mkutano wa CCM katika jimbo la vunjo, akihutubia nyomi ya
watu, mgombea urais wa CCM John Pombe Magufuli alimwombea kura mgombea
wa TLP, Augustino Mrema kwa wakazi wa Vunjo kwamba wamchague kuwa mbunge
wao huku mgombea wa CCM wa jimbo hilo Innocent Shirima akiwa pembeni
yake akishangaa bila kuamini.

Magufuli alisema pia kwamba mrema akichaguliwa atamwingiza kwenye baraza
lake ya mawaziri.

Wakati hayo yakijiri viwanja vya himo, Mrema alikuwa njia panda na
wakati Magufuli amemaliza mkutano wake alipita na ‘entourage’ yake
kuelekea Same.

Mrema alikuwa amesimama anaongea na watu hapo njia panda, msafara wa
Magufuli ulimpita Mrema kuelekea Same, lakini baada ya dakika 10 convoy
ya Magufuli ilirudi njia panda ili kumsalimia mrema, wakazi wa Vunjo
walifurika na Magufuli alimwomba Mrema aongee kidogo. Mrema alimsifia
Magufuli kwa barabara alizojenga katika jimbo la Vunjo.

Magufuli nae alirudia akisema mbatia hafai kuwa mbunge ila wamchague
Mrema ambaye ni jembe na mchapakazi kama yeye na watu walilipuka kwa
shagwe.

Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu