Home Audio MAGUFULI ALIVYOITIKISA MJI WA CHATO JIONI YA LEO MKOANI GEITA

MAGUFULI ALIVYOITIKISA MJI WA CHATO JIONI YA LEO MKOANI GEITA

SHARE

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha 
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akifafanua jambo kwa msisitizo
mkubwa wakati akiwahutubia wakazi wa Chato na vitongoji vyake jioni ya
leo kwenye mkutano wa hadhara

wa Kampeni uliofanyika uwanja wa shule ya
sekondari Chato mkoani Geita.

Wakazi wa Chato na Vitongoji vyake wakifuatilia na kusikiliza sera za
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi na
kuomba ridhaa mbele yao jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni
uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya sekondari chato mkoani Geita.

 Wakazi
wa Chato wakishangilia kuonesha kuwa watampa kura za ushindi Mgombea
Urais wa CCM Dkt Magufuli kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika
Oktoba 25 mwaka huu,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika
katika shule ya sekondari Chato,jioni ya leo mkoani Geita. 

 Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Chato na vitongoji
vyake jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika
katika uwanja wa shule ya sekondari Chato mkoani Geita.

 Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la
Chato,Dkt Meedad Kalemani mbele ya wakazi wa Chato waliojitokeza kwa
wingi kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa
shule ya sekondari Chato,jioni ya leo mkoani Geita. 

 Wakazi
wa Chato na Vitongoji vyake wakifuatilia na kusikiliza sera za Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi na kuomba
ridhaa mbele yao jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika
kwenye uwanja wa shule ya sekondari chato mkoani Geita.

 Wakazi wa Chato ilkuwa ni shangwe tu kila kona ya uwanja. 

 Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Geita ,Joseph Kasheku almaarufu King Msukuma akiwaomba
ridhaa wananchi wa Chato ya kumchagua Mgombea Urais wa chama cha
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli ili aweze kuwa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania katika awamu ya tano.

 Mke wa Mgombea Urais wa CCM,Mama Janeth John Magufuli akiwasalimia 
wananchi wa Chato na kuwaomba ridhaa ya kumchagua Dkt John Pombe
Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika awamu ya
tano,kweney uchaguzi mkuu unaotarajiwa kuwafanyika Oktoba 25 mwaka huu.

wa Chato wakishangilia kwa shangwe kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
uliofanyika katika shule ya sekondari Chato,jioni ya leo mkoani Geita.

 Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Chato na vitongoji
vyake jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika
katika shule ya sekondari Chato mkoani Geita.

Wakazi
wa Chato wakishangilia kwa shangwe kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
uliofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari Chato,jioni ya leo
mkoani Geita.

 Mke
wa Mgombea Urais wa CCM,Mama Janeth John Magufuli akipeana mkono na
Mgombea Ubunge wa jimbo la Chato,Dkt Meedad Kalemani mara baada ya
kuwasalimia wananchi wa Chato na kuwaomba ridhaa ya kumchagua Dkt
Magufuli kuwa Rais wa awamu ya tano,pichani kati anaeshuhudia ni Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli. 

Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa Chato mara baada ya
kumaliza mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa
shule ya sekondari Chato,jioni ya leo mkoani Geita.

 Dkt.
John Pombe Joseph Magufuli akisalimia  katika uwanja wa Shule ya
Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari kuhutubia mkutano wa kampeni
uliohudhuriwa na mamia ya wananchi muda huu. 

 Dkt.
John Pombe Joseph Magufuli akisalimia katika uwanja wa Shule ya
Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari kuhutubia mkutano wa kampeni
uliohudhuriwa na mamia ya wananchi muda huu. 

 Mgombea
Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili
katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari
kuhutubia mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na mamia ya wananchi muda
huu.

 Mama Janet Magufuli, mke wa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia 
 katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari
kuhutubia mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na mamia ya wananchi muda
huu.

 Sehemu ya maelfu ya wananchi   katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari  mkutano wa kampeni 

Sehemu ya maelfu ya wananchi   katika uwanja wa Shule ya Sekondari ya Chato mkoani Geita tayari  mkutano wa kampeni.
Picha na Ahmad Michuzi Jnr.
SHARE