Home Audio LOWASSA AMNADI MBATIA JIMBO LA VUNJO

LOWASSA AMNADI MBATIA JIMBO LA VUNJO

SHARE
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Mh. James Mbatia, akiwahutubia
wananchi wa Mji wa Himo, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye
uwanja wa Polisi Himo, Jimbo la Vunjo, Mkoani Kilimanjaro leo Septemba
27, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akiwahutubia wananchi wa Mji wa Himo, katika Mkutano wa Kampeni,
uliofanyika kwenye uwanja wa Polisi Himo, Jimbo la Vunjo, Mkoani
Kilimanjaro leo Septemba 27, 2015
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Himo, katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye uwanja wa Polisi Himo, Jimbo la Vunjo, Mkoani Kilimanjaro leo Septemba 27, 2015.
Wananchi wa Jimbo la Vunjo, wakishangilia wakati Mgombea Ubunge wao, Mh. James Mbatia, akiwahutubia,
katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa Polisi Himo,
Jimbo la Vunjo, Mkoani Kilimanjaro leo Septemba 27, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwa
ameambatana na baadhi ya viongozi wakuu wa UKAWA, wakati wakiondoka eneo
la Uwanja wa Polisi Himo, kulimofanyika  Mkutano wa Kampeni, leo
Septemba 27, 2015.
SHARE