Home Audio JUMA NATURE AELEZEA MSIMAMO WAKE WA KUFANYA KAMPENI

JUMA NATURE AELEZEA MSIMAMO WAKE WA KUFANYA KAMPENI

SHARE
Msanii
wa Muziki wa Bongo Fleva Juma Nature ameongea na Waandishi wa Habari
juu ya Ufanyaji kazi wake katika kipindi hiki cha kampeni Ambapo
aliongozana na Mgombea Ubunge jimbo la Mbagala ambaye ni rafiki mkubwa
na jirani wa msanii huyo Ndg Issa Mangungu.

 Juma
Nature kwa sasa amerudi kufanya kampeni na chama cha mapinduzi CCM na
ameamua kuelezea nia ya kurudi CCM baada ya mashabiki kumuona katika
Majukwaa mengine ya vyama vya kisiasa.

Nature amesema kuwa mziki ambao anaufanya ni Biashara lakini pia
anafanya kwa ajili ya Jamii yake ambayo inamzuuka na pia anaangalia
sehem ambayo anakubalika ivyo akiitwa sehem yeyote kufanya kazi anaenda
anafanya kazi maana mziki ndio ajira yake.

Sikilize hapa Juma Nature akiongea

SHARE