Home Audio JK, MAGUFULI KATIKA MKUTANO WA KIHISTORIA MOROGORO

JK, MAGUFULI KATIKA MKUTANO WA KIHISTORIA MOROGORO

SHARE

 Mama Salma Kikwete akijiunga na viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro
kumlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja
wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea
Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika
Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa
mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika
Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa
mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Maelfu kwa maelfu ya wananchi wakimlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Dkt. John Pombe Magufuli

 Sehemu ya gharika la wananchi  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro
Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama
hicho tawala

 Sehemu ya gharika la wananchi likimpokea mgombea wa Urais kwa Tiketi ya
CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro
Jumapili kwa mkutano wa kampeni

 Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akiwasili
kwa shangwe katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano
wa kampeni

 Rais Kikwete akimnadi mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John
Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili

 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli  wakiwa katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili

 Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwapungia
mikono wananchi huku wakiwa wameshika kofia zao. 

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisistiza jambo katika mkutano huo.

 Wananchi
wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Jamhuti mjini Morogoro kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo Dkt Magufui aliwahutubia wananchi
hao sambamba na kuzinadi sera zake

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa
Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro

 Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli akihutubi maelfu ya wananchi kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa
Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro.

Mmgombea
Urais  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.John Magufuli amesema iwapo
atachaguliwa kuwa Rais katika uchaguzi mkuu mwaka huu ,Serikali yake
itashusha bei ya vifaa vya ujenzi hasa bati na saruji. Dk.Magufuli
alitoa kauli hizo leo wakati anazungumza kwa nyakati tofauti katika
maeneo ya Mkamba.Ruaha.Mikumi,Kilosa mjini pamoja na Morogoro mjini
ikiwa ni sehemu ya kuomba ridhaa ya kuomba kichaguliwa urais katika
uchaguzi mkuu mwaka huu.

Alisema
kuwa serikali yake inataka kurahisisha maisha ya watanzania wote na
hivyo atapunguza bei saruji na bati na hilo litafanikiwa kwa kupunguza
ushuru wa vifaa hivyo.”Serikali ya Magufuli nataka iwe ya kurahisisha
maisha ya wananchi wake.Moja ya mambo ambayo ninedhamiria kuyafanya ni
kupunguza bei ya bati na saruji.Nataka kuona watu wanajenga nyumba nzuri
na za kisasa, hivyo lazima tushushe bei ya vifaa vya ujenzi,alisema
Dk.Magufuli.

Aliongeza
kasi ya kupatikana kwa maendeleo ya haraka hiyo anaiweza na anaomba
wananchi wamuamini na ameomba urais kwa ajili ya kufanya kazi tu huku
akieleza wapo ambao wanaosema anafanya siasa wajue yeye si
mwanasiasi.”Nataka kuwa Rais wa Tanzania na si uwenyekiti .Dhamira
yangu ni kuwatumikia watanzania kwa kuleta maendeleo yakiwemo ya kuwa na
makazi bora.

“Natambua
nchi yetu ni tajiri sana na sasa utajiri huo utumike kuleta maendeleo
ya wananchi na hili linawezekana kwenye serikali ya awamu ya tano,”
alisema Dk.Magufuli.Alisema rasilimali za nchi hii zitumike kuleta
maendeleo na ndio maana anataka nafasi hiyo kwa ajili ya kusimamia
maendeleo ya wananchi wote.Wakati huo huo,Dk.Magufuli aliwataka wananchi
kumchague yeye awe Rais kwa sababu hana tamaa ya fedha na ndio maana
amaweza kusimamia vema fedha za wafadhili ambazo zilitumika kwenye
ujenzi wa barabara.

Kwa
upande mwingine alisema atasimamia amani ya nchi kwani ndio msingi wa
maendeleo ya taifa letu na kuongeza shida ya watanzania si vyama vya
siasa bali ni maendeleo yao.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la
Morogoro mjini,Mh Azizi Abbod mbele ya maelfu ya wananchi (hawapo
pichani) kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika
uwanja wa Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro.

 Mwenyekiti
wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akiteta jambo na Kada
maarufu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba jioni ya leo kwenye mkutano wa
hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamuuhuri mkoani Morogoro

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akizungumza
jambo na  mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli jioni ya leo
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamuuhuri
mkoani Morogoro.

 Mwenyekiti
wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Kada
maarufu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba jioni ya leo kwenye mkutano wa
hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamuuhuri mkoani
Morogoro,pichani kati ni mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akishuhuhudia
tukio hilo.

 Wananchi
wa kata ya Kimamba wakiwa wamekusanyka kwa wingi wakimsikiliza Dkt
Magufuli alipokuwa akijinadi kwao na kuomba ridhaa ya kuonza Tanzania
katika awamu ya Tano.

 Wabunge wa majimbo ya mkoa wa Morogoro wakiwa katika mkutano huo wa
kampeni wa mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli
 katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili

 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa
 mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho
tawala

 Sehemu tu ya wapiga picha wakirekodi matukio  katika Uwanja wa Jamhuri
Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea  wa
urais kwa tiketi ya CCM

 Vijana wa CCM  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati
wa  mkutano wa kampeni wa mgombea  wa urais kwa tiketi ya CCM

  Vijana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea  wa urais kwa tiketi ya CCM

 Wasanii nyota  vijana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea  wa urais kwa tiketi ya CCM

 Wasanii

  Sehemu ya wasanii vijana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro
Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea  wa urais kwa tiketi
ya CCM

 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli na viongozi wengine  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro
Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa
tiketi ya chama hicho tawala

 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli  wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Mzee Yusuf Makamba
katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa
kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa
 mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho
tawala

 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli  na Mama Salma Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro
Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa
tiketi ya chama hicho tawala

 Rais Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli  wakimpongeza Mzee Yusuf Makamba katika Uwanja wa Jamhuri Mjini
Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa
urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Mzee Yusuf Makamba  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa
tiketi ya chama hicho tawala

 Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Mzee Yusuf Makamba  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa
tiketi ya chama hicho tawala

 Rais Kikwete akiongea na gharika ya wananchi wakati akimnadi mgombea wa
Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  katika Uwanja wa
Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea
huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Rais Kikwete akimpa tano mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John
Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati
wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama
hicho tawala

 Rais Kikwete akimnadi  mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa
 mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho
tawala

  Rais Kikwete akimnadi  mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John
Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati
wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama
hicho tawala

  Rais Kikwete akimnadi  mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John
Pombe Magufuli  katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati
wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama
hicho tawala

Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimia
gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya
chama hicho tawala

 Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akihutubia
 gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya
chama hicho tawala

 Meza kuu wakati Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubia gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini
Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais
kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimia
gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya
chama hicho tawala

 Ni shangwe tupu wakati mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli  akiongea gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini
Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais
kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Rais Kikwete akijiunga na kunyoosha mkono juu kwa mgombea  Urais kwa
Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  sambamba na gharika ya wananchi
katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa
kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akimnadi
mbunge wa Morogoro Mjini Mhe Mohamed Aboud mbele ya  gharika ya wananchi

mgombea Ubunge wa Morogoro vijijini Mhe Prosper Mbena  mbele ya  gharika
ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa
 mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho
tawala

   Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akimnadi
mgombea Ubunge wa Morogoro vijijini Mhe Prosper Mbena  mbele ya  gharika
ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa
 mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho
tawala

   Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akiwanadi
wagombea  Ubunge wa Morogoro  mbele ya  gharika ya wananchi katika
Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni
wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akimshukuru
mbunge wa zamani Mama Jitto Ram ambaye pamoja na kuugua alifika  Uwanja
wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa
mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akipongezwa
na mama Salama Kikwete baada ya kuhutubia   gharika ya wananchi katika
Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni
wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

  Rais Kikwete akiwa na mgombea  Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli, Mzee Yusuf Makamba na mgombea ubunge Morogoro mjini Mhe
Mohamed Aboud mbele ya   gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri
Mjini Morogoro Jumapili wakati wa  mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa
urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

 Rais Kikwete akiongea na wagombe ubunge vijana wa mkoa wa Morogoro

 Rais Kikwete akisalimiana na mjukuu wa Chifu Kingalu

 Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa viongozi wa UWT
wakati alipowasili kuhudhuria ufungaji wa mkutano wa semina ya Umoja wa
Wanawake hao wa CCM baada ya mkutano wa kampeni

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na mbunge wa zamani wa Morogoro Kusini Mashatiki Mhe Semindu Pawa

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Wazazi wa CCM Taifa Mhe Abdallah Majula Bulembo

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mwigizaji Steve Nyerere

Wajumbe wa  mkutano wa Baraza Kuu la  Umoja wa Wanawake wa CCM
wakishangilia kabla ya kufungwa kwa mkutano wao mara tu baada ya mkutano

 Rais Kikwete na mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli
wakishangilia pamoja na Wajumbe wa  mkutano wa Baraza Kuu la  Umoja wa
Wanawake wa CCM  kabla ya kufungwa kwa mkutano wao mara tu baada ya
mkutano wa kampeni

 Wajumbe wa  mkutano wa Baraza Kuu la  Umoja wa Wanawake wa CCM
wakishangilia kabla ya kufungwa kwa mkutano wao mara tu baada ya mkutano
wa kampeni

 Meza kuu wakifurahia wimbo wa Kisukuma na wajumbe wa  mkutano wa Baraza
Kuu la  Umoja wa Wanawake wa CCM kabla ya kufungwa kwa mkutano wao mara
tu baada ya mkutano wa kampeni

 Rais Kikwete akihutubia na kufunga mkutano wa Baraza la UWT mara tu baada ya mkutano wa kampeni

 Mfasiri akiwafasiria wana CCM wenye ulemavu wa kusikia wakati Rais
Kikwete akihutubia na kufunga mkutano wa Baraza la UWT mara tu baada ya
mkutano wa kampeni

 Rais Kikwete akihutubia na kufunga mkutano wa Baraza la UWT mara tu baada ya mkutano wa kampeni

 Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa Baraza la UWT mara tu baada ya mkutano wa kampeni

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akihutubia

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akihutubia

 Sehemu ya wajumbe

 Wajumbe wa  mkutano wa Baraza Kuu la  Umoja wa Wanawake wa CCM
wakishangilia wakati wa  kufungwa kwa mkutano wao mara tu baada ya
mkutano wa kampeni

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wajumbe wa
 mkutano wa Baraza Kuu la  Umoja wa Wanawake wa CCM wakati wa  kufungwa
kwa mkutano huo mara tu baada ya mkutano wa kampeni

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wajumbe wa
 mkutano wa Baraza Kuu la  Umoja wa Wanawake wa CCM wakati wa  kufungwa
kwa mkutano huo mara tu baada ya mkutano wa kampeni

 Rais Kikwete akiwa na msanii Keisha

 Rais Kikwete akiwa na Amina Mollel na msanii Keisha

 Rais Kikwete na mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakikata
utepe kabla ya kukabidhi magari kwa ajili ya ofisi za UWT nchi nzima

Rais Kikwete akikabidhi moja ya magari ambayo UWT imenunua kwa ajili ya ofisi za UWT nchi nzima

SHARE