Home Audio DALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI...

DALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR ES SALAAM

SHARE
Wananchi wakiangalia ajali ya daladala
lenye namba za usajili T 456 BVT lililoacha njia kutokana na mwendokasi
na kuparamia genge na bajaj yenye namba MC 611 ADC, maeneo ya Kitunda
relini barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam leo
asubuhi.
Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa daladala
kukimbilia abiria. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.
 wananchi wakiangalia ajali hiyo.
 Daladala hilo likiwa ndani ya genge baada ya kuacha njia.
Bajaj namba MC 611 ADC, likiwa kanda ya daladala hilo baada ya kugongwa.
Wananchi wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 456 BVT
lililoacha njia kutokana na mwendokasi na kuparamia genge na bajaj
yenye namba MC 611 ADC, maeneo ya Kitunda relini barabara ya Mombasa
kwenda Moshi Baa Dar es Salaam leo asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha
ajali hiyo ni mwendokasi wa daladala kukimbilia abiria. Katika ajali
hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.
wananchi wakiangalia ajali hiyo.
Daladala hilo likiwa ndani ya genge baada ya kuacha njia.
Bajaj namba MC 611 ADC, likiwa kanda ya daladala hilo baada ya kugongwa.

Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ

 Wananchi wakiangalia ajali ya daladala
lenye namba za usajili T 456 BVT lililoacha njia kutokana na mwendokasi
na kuparamia genge na bajaj yenye namba MC 611 ADC, maeneo ya Kitunda
relini barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam leo asubuhi.