Home Audio Kingunge Ngombale Mwiru Avuliwa Ukamanda wa UVCCM Taifa.

Kingunge Ngombale Mwiru Avuliwa Ukamanda wa UVCCM Taifa.

SHARE
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baraza
kuu la Umoja wa Vijana wa CCM lililokutana tarehe 15.08.2015 katika
ukumbi wa Julius Nyerere International convention centre, pamoja na
mambo mengine liliazimia mambo yafutauo:-
1.
Lilimvua Ukamanda Mkuu ndugu Kingunge Ngombale Mwiru. Maamuzi hayo
yalitolewa kutokana na tabia na mwenendo wake wa hivi karibuni kuenda
tofauti na maadili na taratibu za CCM.
Aidha
kikao kimetoa mapendekezo kwa vikao vya Chama Cha Mapinduzi
kuuangangalia upya uanachama wake na kuchukua hatua kubwa zaidi.
2.
Kikao pia kiliunda timu ya kampeni ambayo itafanya kazi pamoja na
kamati ya utekelezaji kuhakisha ushindi wa CCM kwa nafasi zote.
3.
Kikao kimemshukuru Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kwa hotuba nzuri ya ufunguzi wa
Baraza na kikao kimeahidi kutekeleza maagizo na maelekezo ya hotuba hiyo
kwa matendo.
Sixtus Raphael Mapunda
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa
SHARE