Home Audio Wananchi wazuia Msafara wa LOWASSA wakitaka Kumuona Mkoani Kilimanjaro

Wananchi wazuia Msafara wa LOWASSA wakitaka Kumuona Mkoani Kilimanjaro

SHARE

 Polisi
mkoani Kilimanjaro wakiwa wameuzuia msafara wa Waziri Mkuu Mstaafu na
Mgombea Urais kupitia Chadema na anaeungwa mkono na UKAWA, Edward
Lowassa katika kijiji cha Maroro, Wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro,
hii leo wakati anakwenda
kuhudhuria mazishi ya Kada na Mwasisi wa Chama
cha Mapinduzi CCM, mzee Peter Kisumo huko Usangi.

Edward Lowassa akizungumza na wanacham wa vyama mbalimbali walioji

Kisumo aliaga dunia Agosti 3, 2015, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili,
Dar es Salaam, ambako alikuwa anapatiwa matibabu ya figo, ikiwa ni
mwezi mmoja tangu arejee nchini akitokea nchini India.
SHARE