Home Audio
SHARE

Ajali iliyotokea jana katika kijiji cha
Mavuji wilayani Kilwa imesababisha vifo vya watu watano wa familia moja
ambapo walikuwa wanatoka kuwazika ndugu zao wawili juzi mjini Lindi
baada ya marehamu hao kupata ajali.
Waliofariki katika ajali hiyo ni pamoja
na Bi Saida ambaye ni mama Mzazi wa Marehemu, Shiraz Jack Magongo
aliezikwa Juzi, Shirin Jack Magongo ambae ni Mama Mzazi wa Marehemu
Samia (MRS Lupanda) pamoja na Marehemu Shiraz.
Marehemu wa awali walipata ajali ambayo ilitokea majuzi katika Kijiji Cha Chipite.
Marehemu Mwingine ni Ajira Shiraz Jack
Magongo Nargis ambaye ni dada yao wa mama mkubwa na Mdogo ambaye kwa
waliokuwa Lindi ndiye mmiliki wa nyumba ya Gift Guest na walio Dar yupo
Livingstone Str maarufu kwa uuzaji wa chumvi, pamoja na Meja Hussein
Bhatia ambae ndie alikuwa dereva wa gari hilo ambaye alifariki baadaye.

Maiti ya marehemu Bi Saida, Shirin na
Nargis zinatarajia kuzikwa Dar huku maiti ya Marehemu Meja Hussein
Bhatia na Ajira Shiraz ikiwatarajiwa nayo kuzikwa mkoani Lindi.

Katika ajali hiyo dada mkubwa wa
marehemu Shiraz na Shirin, Yasmin Jack Magongo walikimbizwa katika
hospitali jijini Dar es Salaam kwa matibabu.

Ajali iliyotokea jana katika kijiji cha Mavuji wilayani Kilwa
imesababisha vifo vya watu watano wa familia moja ambapo walikuwa
wanatoka kuwazika ndugu zao wawili juzi mjini Lindi baada ya marehamu
hao kupata ajali.

Waliofariki katika ajali hiyo ni pamoja na Bi Saida ambaye ni mama Mzazi
wa Marehemu, Shiraz Jack Magongo aliezikwa Juzi, Shirin Jack Magongo
ambae ni Mama Mzazi wa Marehemu Samia (MRS Lupanda) pamoja na Marehemu
Shiraz.
Marehemu wa awali walipata ajali ambayo ilitokea majuzi katika Kijiji
Cha Chipite.
Marehemu Mwingine ni Ajira Shiraz Jack Magongo Nargis ambaye ni dada yao
wa mama mkubwa na Mdogo ambaye kwa waliokuwa Lindi ndiye mmiliki wa
nyumba ya Gift Guest na walio Dar yupo Livingstone Str maarufu kwa
uuzaji wa chumvi, pamoja na Meja Hussein Bhatia ambae ndie alikuwa
dereva wa gari hilo ambaye alifariki baadaye.

Maiti ya marehemu Bi Saida, Shirin na Nargis zinatarajia kuzikwa Dar
huku maiti ya Marehemu Meja Hussein Bhatia na Ajira Shiraz ikiwatarajiwa
nayo kuzikwa mkoani Lindi.

Katika ajali hiyo dada mkubwa wa marehemu Shiraz na Shirin, Yasmin Jack
Magongo walikimbizwa katika hospitali jijini Dar es Salaam kwa matibabu.

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

SHARE