Home Audio Ubunge viti maalum, keisha aula

Ubunge viti maalum, keisha aula

SHARE

            Khadija Shaban “Keisha”
Wakati Wema Sepetu akiangukia pua katika kinyanganyilo cha
kuwania ubunge wa viti maalum msanii mwenzake wa nyimbo za bongo Fleva
Khadija Shaban “Keisha” ambaye pia ni mlemavu wa ngozi ameshida kura za
maoni za ubunge wa viti maalum kupitia chama cha Mapinduzi huko Dodoma
Zlatan Ibrahimovic ndiye alikuwa wakwanza kuifungia timu yake ya PSG
Goli la kwanza katika mchezo huo mnamo dakika ya 24 ya Mchezo huo mara
baada ya kufanyika kwa makosa ya mabeki wa Timu ya Chelsea.
Timu ya Chelsea imeshindwa kutamba mbele ya PSG ilipokubali kulazimishwa
kutoka sare ya Goli 1-1, Hivyo kupelekea Mchezo huo kuamuliwa kwa
mikwaju ya Penalti huku kipa wa Chelsea Thibaut Courtois kuibuka shujaa
wa mchezo huo mara Baada ya Kuokoa mikwaju miwili ya Penalti.
Kipindi cha Pili Timu zote zilifanya Mabadiliko na katika Upande wa
Chelsea waliweza kuwatoa Begovic, Mikel and Cahill na waliochukua nafasi
zao walikuwa Courtois, Zouma and Ramires. Na upande wa PSG waliotoka
walikuwa Luiz, Verratti and Stambouli ambapo nafasi zao zilichukuliwa na
Marquinhos, Motta and Rabiot.
Mnamo dakika ya 64 ya kipindi cha pili ni Victor Mosses aliefunga goli
la kusawazisha baada ya kupokea pasi maridhawa kutoka kwa Cesc Fabregas
Hadi dakika tisini zinakamilika matokeo yalibaki kuwa 1-1 na kuamuliwa
kupigwa mikwaju ya Penalti ambapo Chelsea ilishinda kwa mikwaju 6-5.

Katika mchezo wa Awali Timu ya Chelsea walifungwa Goli 4-2 na Timu ya
New York RedBulls. PSG wao waliweza ishinda Fiorentina kwa jumla ya Goli
4-2. Katika mshindano hayo ya International Champions Cup

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

SHARE