Home Audio TATU BORA YA URAIS CCM NDIYO HII, BERNARD MEMBE KURA HAZIKUTOSHA

TATU BORA YA URAIS CCM NDIYO HII, BERNARD MEMBE KURA HAZIKUTOSHA

SHARE
Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa
kuwateua wagombea wake 3 ambao ni: 1) John Magufuli 2) Asharose Migiro
3) Amina Salum Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa
kuwasilishwa MKUTANO MKUU WA TAIFA ili kupata jina moja (1) la mgombea
Urais 2015
SHARE