Home Audio SHINIKIZO LA KUMTAKA EDWARD LOWASSA KUKITOSE CHAMA CHA MAPINDUZI LASHIKA KASI

SHINIKIZO LA KUMTAKA EDWARD LOWASSA KUKITOSE CHAMA CHA MAPINDUZI LASHIKA KASI

SHARE

Tangu wakati huo kumekuwa na tetesi kuwa alikuwa atangaze kujiondoa CCM.

Lowassa
ni miongoni mwa makada 38 waliojitosa kuwania kuteuliwa kuwa wagombea
wa nafasi ya urais wa CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25,
mwaka huu.
Hata hivyo, jina lake halikuwamo katika orodha ya
makada watano waliopitishwa kwenye vikao vya juu vya chama hicho
ambavyo mwishowe vilimteua John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais
atakayekabiliana na wagombea wa upinzani katika uchaguzi mkuu huo.
CHANZO: NIPASHE

SHARE