Home Audio Wema Sepetu Apigwa chini kwenye Kura za Maoni Ubunge wa viti Maalum...

Wema Sepetu Apigwa chini kwenye Kura za Maoni Ubunge wa viti Maalum Singida

SHARE
Msanii wa Filamu za kibongo anayeongoza kwa urembo ndani ya
tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa Viti
Maalum jimbo la

Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu
katika uchaguzi huo.

Mgawanyo wa kura ulikuwa hivi;
1. Aysharose Mattembe (311)
2. Martha Mlata(235)
3. Diana Chilolo(182)
4. Wema Sepetu(90)

Rais Barack Obama
Rais Barrack Obama wa Marekani, tayari amewasili mjini Nairobi.
Ndege iliyombeba rais obama ilitua katika uwanja wa ndege wa Jomo
Kenyatta muda mfupi baada ya saa mbili za usiku.
Alipowasili Rais Obama amelakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta.
mwendo wa saa mbili na robo rais Obama alitua ndege yake.
Akisalimiana na ndugu zake
Alipowasili alizungumza kwa muda mfupi na mwenyeji wake rais Kenyatta na
kisha kutia saini kitabu cha wageni kabla ya kuondoka.
Obama sasa ameandikisha historia ya kuwa rais wa kwanza wa Marekani,
kuzuru Kenya akiwa ofisini.
Obama anatarajiwa kufungua mkutano wa sita wa kimataifa kuhusu
ujasiriamali katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini Nairobi.
Ndege ya Obama katika Uwanja wa JKIA
Baadaye rais huyo atafanya mashauriano na rais Uhuru Kenyatta katika
ikulu ya Nairobi.
Siku yan Jumapili rais Obama atahutubia mkutano wa wakuu wa mashirika ya
kijamii katika chuo kikuu cha Kenyatta kabla ya kuhutubia mkutano
mwingine kwa wakenya wote katika uwanja wa Kasakani.
Obama anatarajiwa kuondoka siku ya Jumapili kuelekea nchini Ethiopia.
Maelfu ya wakenya wamejipanga kando ya barabara kuu inayotoka uwanja wa
ndege ili kumlaki rais huyo wa Marekani, ambaye anarejea nchini Kenya
ambako babake alizaliwa.
Wakenya wakifuatilia ziara ya Obama kwenye runinga
Mamilioni ya Wakenya wengine naowalifuatilia kuwasili kwake kwenye
runinga.

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ