Home Audio MAGUFULI APOKELEWA VIZURI KAHAMA NA NZEGA AKIWA NJIANI KURUDI DODOMA

MAGUFULI APOKELEWA VIZURI KAHAMA NA NZEGA AKIWA NJIANI KURUDI DODOMA

SHARE

 Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk.John Magufuli akiwasalimu wakazi wa kaya ya
Masumbe wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wakati akiwa njiani kurejea
Dodoma.

 Wananchi
wa Kahama wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki mgombea wa Urais
kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli ambaye alipita kuwasalimia akiwa
njiani kuelekea Dodoma.

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasili nje ya ofisi za CCM Kahama na kupata mapokezi makubwa.

 Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wananchi wa
Kahama waliojitokeza kwa wingi nje ya ofisi ya CCM Kahama mkoani
Shinyanga.

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wananchi waliojitokeza kumpokea nje ya ofisi za CCM Nzega.

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Hussein Bashe nje ya ofisi ya CCM Nzega mkoani Tabora

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuliakisaini vitabu vya wageni kabla ya kuwasalimu wakazi wa Nzega.

 Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Rajab Luhwavi akitoa salaam za
utangulizi kabla ya kumkaribisha Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John
Pombe Magufulikuwasalimu wakazi wa Nzega.

 Wananchi wa Nzega wakishangilia ujio wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli(kulia) akisalimiana na Mbunge wa Nzega Vijijini Dk. Hamisi Kigwangala

 Hussein
Bashe amabaye ametia nia ya kugombea ubunge jimbo la Nzega Mjini
akisalimia wakazi wa Nzega waliojitokeza kwa wingi kumsalimu Mgombea wa
Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli

 Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja wakati wa kuwasalimia wananchi wa
Nzega.

 Mama Janet Magufuli akisalimia wakazi wa Nzega nje ya ofisi ya CCM wilaya.

Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuliakiwasalimu wakazi wa Nzega
kwenye mkutano uliofanyika nje ya ofisi ya CCM wilaya ambapo aliwaambia
amefarijika na mapokezi mazuri na amewaahidi kurudi tena wakati wa
kampeni zitakapoanza.
SHARE