Home Audio MEYA JERRY SILAA WA ILALA ATANGAZA RASMI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA

MEYA JERRY SILAA WA ILALA ATANGAZA RASMI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA

SHARE
Meya wa Ilala, Jerry Slaa
akifuatilia kwa karibu burudani zilizokuwa zinatolewa na vikundi mbalimbali
katika mkutano huo. Pamoja nae ni Mbunge wa Afrika Mashariki na Mjumbe wa NEC wa CCM,
Diwani wa  kata ya 
Gongo la Mboto na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Slaa akihutubia
wananchi katika uwanja wa shule ya msingi kitunda mwishoni mwa wiki ambapo
alieleza mafanikio yaliyopatikana wakati wa kipindi chake cha uongozi na
kukamilisha ahadi mbalimbali alizokuwa amezitoa.
Mmoja
wa wawakilishi wa
kikundi cha akina mama akipokea fedha kwa niaba ya wenzake  kutoka kwa
Meya wa Manispaa ya ilala  ambazo alikuwa amewaahidi wakati wa mkutano
wa  Meya huyo kuelezea mafanikio yake.
Baadhi ya madiwani na
wazee wa Ukonga wakimpongeza Meya Jerry Slaa kwa kutimiza ahadi alizotoa muda mfupi
baada ya kueleza mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wake ambapo vilevile
alitangaza nia ya kugombea Ubunge wa jimbo la Ukonga

 Watoto wakitoa burudani
wakati wa mkutano huo

 Sehemu ya umati wa watu
waliohudhuria mkutano huo wakishangilia kwa furaha baada ya kuguswa na hotuba
ya Meya Jerry Slaa

Baadhi ya madiwani na
viongozi wa CCM kata ya Ukonga wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano
huo.
SHARE