Home Audio LA GALAXY WAMPA GERRARD JEZI YAKE YA LIVERPOOL

LA GALAXY WAMPA GERRARD JEZI YAKE YA LIVERPOOL

SHARE
Gerrard jezi
Mkongwe wa klabu ya Liverpool Steven Gerrard jana ametambulishwa rasmi kwenye klabu yake mpya ya  LA Galaxy ya nchini Marekani  
Baada ya kutambulishwa rasmi,
nahodha huyo wa zamani wa ‘The reds’ amekabidhiwa jezi namba nane ambayo
ndio aliyokuwa anaivaa wakati akiwa Liverpool.
Utambulisho huo uliambatana na maneno haya:
‘Welcome to Los Angeles, Steven Gerrard! #GR8NESS’.
SHARE