Home Audio Kristina Bobby Brown afariki

Kristina Bobby Brown afariki

SHARE

                BREAKINGNEWS
  picha ya Bobbi Kristina Brown        picha ya Bobbi Kristina Brown        

Mtoto wa mwimbaji maarufu wa zamani hayati Whitney Houston amefariki duniani Jumapili

Kristina Bobbi
KBrown amefariki dunia baada ya kuugua kwa miezi saba . Taarifa
zilizothibitishwa na vyombo vya vhabari kadhaa vya Marekani vinasema
Christina alifariki Jumapili.
Binti Bobbi Kristina Brown ambae pia baba yake ni mwimbaji maarufu wa
R&B Bobby Brown  amefariki baada ya takriban miezi 7 tangu
alipopatikana akiwa amezirai kwenye bafu na kukimbizwa hospitali .
Bobbi Christina mwenye umri wa miaka 22 alikutwa  akiwa ameanguka
ndani ya nyumba kwenye jimbo la Atlanta , Georgia alipokuwa akiishi na
Nick Brown aliyemwita mumewe.
   
 chanzo cha habari ni Sauti ya Amerika

SHARE