Home Audio JESHI LATUMIKA KUWATAWANYA WAFUASI WA EDWARD LOWASSA WALIOKUWA WAKIPINGA JINA LAKE KUKATWA...

JESHI LATUMIKA KUWATAWANYA WAFUASI WA EDWARD LOWASSA WALIOKUWA WAKIPINGA JINA LAKE KUKATWA NA KUTOINGIA 5 BORA YA URAIS DODOMA.

SHARE


Wapambe na wafuasi wa Edward Lowassa wakitambaa katika barabara kupinga
mgombea huyu  jina lake kukwatwa na kamati kuu ikiwemo kushindwa
kuingia katika wagombea tano bora.Gari linalotoa maji ya kuwasha likiwa nje ya jengo la makao makuu CCM.

SHARE