Home Audio huyu hapa mgombea wa CCM aliyetaka kurudishiwa pesa zake baada ya jina...

huyu hapa mgombea wa CCM aliyetaka kurudishiwa pesa zake baada ya jina lake kukatwa

SHARE

Aliyekuwa mmoja wa watia nia wa nafasi ya kuwania urais kwa tiketi ya
CCM Dk. Kalokola ametishia kukipeleka chama hicho mahakamani kama
hawatamrudishi milioni 1 yake ambayo aliitumia kuchukua fomu.
SHARE