Home Audio ROSE NDAUKA APEWA ONYO NA FAMILIA ROSE NDAUKA APEWA ONYO NA FAMILIA

ROSE NDAUKA APEWA ONYO NA FAMILIA ROSE NDAUKA APEWA ONYO NA FAMILIA

SHARE

STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka hivi karibuni amewekwa chini na familia yake na kupewa onyo kuhusu wanaume pamoja na maadili.

Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka.

Kwa mujibu wa chanzo, Rose aliambiwa maneno mengi na familia yake
ikimtaka ajirekebishe na haswa ajitume zaidi katika kazi zake
anazofanya.

“Familia yake imeamua kumuweka chini na kumwambia mengi kuhusu maisha
haswa ikimtaka ajirekebishe tabia yake kwa ujumla,” kilisema chanzo.

Rose alipotafutwa kuweka wazi juu ya hili, alifunguka;
“Kila familia ina utaratibu wake, kwahiyo mimi kuwekwa na familia na kupewa onyo wala siyo suala la ajabu.”

SHARE