Home Audio HAWA NI BAADHI YA WACHEZAJI AMBAO USAJILI WAO TAYARI UMESHAKAMILIKA

HAWA NI BAADHI YA WACHEZAJI AMBAO USAJILI WAO TAYARI UMESHAKAMILIKA

SHARE
Depay
Petr Cech kutoka Chelsea  kwenda Arsenal – Undisclosed


Arsenal wamemsajili Petr Cech kwa dau linalodaiwa kuwa ni pauni milioni 11 

Dimitri Payet kutoka Marseille kwenda West Ham – Undisclosed


Imeripotiwa West Ham wamelipa kiasi cha pauni milioni 10 kumnasa kiungo huyo wa Ufaransa 

James Milner kutoka Man City kwenda Liverpool – Mchezaji huru


Milner anataka kuchezeshwa nafasi ya katikati 

Gerard Deulofeu kutoka Barcelona kwenda Everton – Pauni million 6


Winga huyo wa Hispania likuwa akikipiga kwenye klabu hiyo (Everton) kwa mkopo tangu msimu wa 2013-2014 

Kevin Wimmer kutoka FC Cologne kwenda Tottenham – Undisclosed


Tottenham imemsajili mlinzi huyu kijana wa Australia kuimarisha safu yake ya ulinzi 

Andre Ayew kutoka Marseille kwenda Swansea – Mchezaji huru


Mshambuliaji huyu wa Ghana amesajiliwa kuziba pengo lililoachwa na Wilfried Bony.

Tyrone Mings kutoka Ipswich kwenda Bournemouth – Undisclosed

Juanmi kutoka Malaga kwenda Southampton – Undisclosed

Micah Richards kutoka Man City kwenda Aston Villa – Mchezaji huru


Aston Villa wamemnyakua  Richards bure baada ya kutoka Fiorentina  alikokua kwa

SHARE