Home Audio FAIZA ALLY AFUNGUKA TENA ‘KATIKA SHERIA YA TANZANIA NA DUNIANI HAKUNA KIPENGELE...

FAIZA ALLY AFUNGUKA TENA ‘KATIKA SHERIA YA TANZANIA NA DUNIANI HAKUNA KIPENGELE KINACHO MFANYA MAMA APOKONYWE MTOTO KUPITIA MAVAZI ALITUMIA RUSHWA AU CHEO CHAKE’

SHARE

Repost from @faiza_ally
Poleni marafiki mlio sikitishwa na tukiwa langu la kupokonywa mtoto- nimeona mnahitaji kujua ili muache masikitiko na tufurahie wakati uliopo- ni Kweli baba yake alishinda KESI lkn sheria hairuhusu nazani alitumia rushwa au labda cheo chake maana haijulikani alishindaje – any way nataka tu mjue mtoto wangu ninae na mimi si mwanamke regerege wa kupokonywa haki zangu za kumlea mwanangu ! Nimekwenda kwenye vyombo vya sheria na vinafanya kazi na. Niwahikikishie tu ntashinda kwa kuwa nina haki na ni mama bora- nitasimama mpaka kieleweke bila kujali cheo wala pesa – sheria zimewekwa na haki zinatendeka- mpaka sasa niko vizuri tu- niko na sasha na ntaendelea kuwa nae mpaka umri utakapo ruhusu lkn si leo wala kesho hayo ya mbele mungu ndio anayajua…..na niwaambie tu wale watoa hukumu wa humu ndani- KATIKA SHERIA YA TANZANIA NA DUNIANI HAKUNA KIPENGELE KINACHO MFANYA MAMA APOKONYWE MTOTO KUPITIA MAVAZI- KUNA VITU VYA KUZINGATIA VYA MUHIMU LKN SI MAVAZI! Aacheni ujinga wa kupeana hukumu – kuna watu wana mamlaka yao waliosomea kazi zao sio nyie wajinga mnaojivisha joho la ujaji hahahahahahaaaa….. Na msisahau hakimu mkuu ni MUNGU – ANAONA ANASIKIA NA ANATENDA ������ Alhamdulillah – feeling bless
SHARE