Home Audio EMMANUEL OKWI ATAMBULISHWA DENMARK

EMMANUEL OKWI ATAMBULISHWA DENMARK

SHARE
IMG-20150710-WA0008

Klabu ya Sonderjyske ya nchini
Denmark imemkaribisha mshambuliaji wake mpya, Raia wa Uganda,

 Emmanuel
Okwi na kumkabidhi jezi yake namba 25 ambayo alikuwa anaitumia alipokuwa
anacheza Simba.

SHARE