Home Audio ALICHOKISEMA MEMBE KUHUSU MTU ALIYEKAMATWA NA MAMILIONI: KUHONGA WAJUMBE

ALICHOKISEMA MEMBE KUHUSU MTU ALIYEKAMATWA NA MAMILIONI: KUHONGA WAJUMBE

SHARE

mchana kulikuwa na habari zilizonea
mitandaoni kwamba kuna mtu ambaye alikamatwa na mabilioni ya pesa
Dodoma, kingine ni kwamba alikamatwa na simu ikiwa na maelekezo kwamba
pesa hizo ni za kuwapatia Wajumbe.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe aliandika ujumbe @Twitter kukanusha kuhusika na mtu huyo
 “Kuna taarifa za uongo zinazoenezwa kwamba kuna “Mtu wa Membe” amekamatwa na pesa Dodoma“
Kwenye
Tweet nyingine Waziri Membe ameandika hivi ”siasa hizi ni za hovyo
kwani hazitajenga Taifa letu. Naomba msihadaike na watu wanaotaka
kututia doa baada ya kukosa uchafu dhidi yetu”  @BernardMembe
SHARE