Home Audio AINA YA GARI AMBALO INASEMEKANA NI TISHIO KWA ULIMWENGU AINA YA GARI...

AINA YA GARI AMBALO INASEMEKANA NI TISHIO KWA ULIMWENGU AINA YA GARI AMBALO INASEMEKANA NI TISHIO KWA ULIMWENGU

SHARE
Lykan Hypersport

Toleo la kwanza la gari kutoka kwa W Motors ni supercar Lykan
Hypersport, gari lililotokea kuweka headlines kubwa kwenye mitandao ya
kijamii kama Instagram pamoja na internet na headlines zilizopo sasa
hivi ni kwamba gari hili laweza kuja kuwa gari la kifarhari kushinda
yote duniani.

Nimekusogezea baadhi ya picha za gari hili hapa chini ila na wewe uweze kujionea.

Lykan Hypersport ni gari la kwanza kutengenezwa na kampuni ya W Motors iliyopo Dubai

Huu ndio muonekano wa gari hili kwa mbele

Muonekano wa gari hili kwa nyuma

Muonekano wa gari kwa ndani

Mwezi wa sita mwaka huu, Lykan Hypersport lilitangazwa kuwa gari la kwanza la kifahari kutumika na polisi wa Abu Dhabi

Gari hilo sasa hivi lipo kwenye ukaguzi kuona kama litafaa kwa shughuli za kipolisi.

W Motors sasa hivi wako mezani na project nyingine ya gari hii itakayoitwa SuperSport Car, yatakayo tengenezwa 25 tu kwa mwaka.

Kampuni hiyo inadhamiria kutengeneza matoleo ya magari yatakayo shindana
kwenye soko na matoleo ya Ferrari, Lamborghini na Bugatti.

Gari hili likikamilika litauzwa kuanzia dola 250,000 na litakuwa linatengenezwa Dubai tu kwenye kiwanda hicho kipya.

SHARE