Home Audio MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE...

MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.

SHARE

 Wananchi
wakiangalia kifaa kilichotengenezwa na Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi
Stadi (VETA) kwa ajili kusoma kiwango cha maji kwa  bei  uliyoweka na
fedha yake unatumbukiza kisha maji yanaanza kutoka walipotembelea
maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam leo.

 Madhari ya maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

 Wananchi
wakiwa katika Harakati za kutembelea mabanda  ya maonyesho ya 39  ya
Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

 Ofisa
wa JKT akionyesha wananchi  jinsi wanavyofuga kwa kisasa
katikamaonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini
Dar es Salaam. (picha na Emmanuel Massaka).

SHARE